Sunday, April 22, 2012

MANCHESTER UNITED 4, EVERTON 4

Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney (kulia) akishangilia na wenzake baada ya kufunga bao la nne dhidi ya Everton katika mechi yao iliyopigwa kwenye Uwanja wa Old Trafford jijini Manchester, England leo. Timu hizo zimetoka sare ya 4-4.
Kiungo wa Everton Steven Pienaar (kushoto) akiifungia timu yake bao la nne dhidi ya Manchester United leo kwenye Uwanja wa Old Trafford jijini Manchester, England.
(PICHA NA AFP/Getty…

No comments:

Post a Comment