Tuesday, April 24, 2012

BREAKING NUUUUUUUZ: HALI NI TETE BAHARI YA HINDI NJE KIDOGO NA NUNGWI ZANZIBAR KUNA SEMEKANA MAWIMBI MAKUBWA YA TORNADO'S YATUA ENEO MASAA MACHACHE YALIYO PITA Mawimbi yakiwa yanakuja kwa kasi ya ajabu katika Eneo La Nungwi Muda mchache ulio pita
Mawimbi yakizidi kusogea Eneo La Nungwi 

****
Taarifa za awali zinasema kwamba Mawimbi hayo makali sana yalisogea eneo la Nungwi lakini mpaka sasa hakuna Hatari yoyote imetajwa... Endelea kufuatilia

No comments:

Post a Comment